Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 25.09.2019: Mandzukic, Dembele, Tonali, Gerrard, Zaha, Lopes
Mcroatia Mario Mandzukic
Manchester United inapania kumsajili mshambulizi wa Juventus wa miaka 33 Mcroatia Mario Mandzukic na kiungo wa kimataifa wa Ufaransa na Barcelona Ousmane Dembele, 22, Januari Mwakani. (The Independent)
Maafisa wa matibabu wa mshambuliaji wa Newcastle na England Andy Carroll, 30, wanahofia mchezaji huyo huenda isiingie uwanjani hadi baada ya Krismasi japo anaendelea kupata nafuu kufuatia jaraha la mguu alilopata. (Telegraph)
Mapato ya Man United yaimarika, ina maana gani?Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 24.0.2019Ujumbe wa Silva kwa Mendy unachunguzwa
Manchester United inafuatilia mchezo wa kiungo wa kati wa Italia wa miaka 19 Sandro Tonali atashiriki mechi ya Brescia dhidi ya Juventus siku ya Jumanne. (Mail)
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema meneja wa sasa wa Rangers na nahodha wa zamani wa Reds Steven Gerrard ndiye atakayemrithi atakapiamua kuondoka Anfield. (FourFourTwo)
Maoni
Chapisha Maoni