Tetesi za soka Ijumaa barani Ulaya:
Mkufunzi wa Real Madrid Zinedine Zidane atanataka kumsaini kiungo wa kati wa Chelsea N'Golo Kante, 28.
Manchester United wanamchunguza kiungo wa kati wa Leicester City James Maddison kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 msimu ujao.
Mshambuliaji wa zamani wa England Wayne Rooney anaamini Pep Guardiola angeshinda vikombe vyote iwapo angepewa ukufunzi wa timu ya Uingereza.
Maoni
Chapisha Maoni