Tetesi za soka alhamisi barani ulaya:

Manchester United inatumai kumshawishi mchezaji wa kiungo cha kati mwenye umri wa miaka 26 Paul Pogba kusaini mkataba mpya. Mchezaji wa kiungo cha kati wa England Jesse Lingard, mwenye umri wa miaka 26, na mchezaji wa kiungo cha mbele wa miaka 17 anayeichezea timu ya taifa ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 Mason Greenwood pia wameorodheshwa kwa mikataba mipya. 

Mashabiki wenye hasira wa Real Madrid wametaka Zinedine Zidane afutwe kazi kama meneja wa timu hyo baada ya Paris St-Germain kuitandika kichapo katika mechi ya ligi ya mabingwa 

Juventus imekataa fursa ya kumsajili Dani Alves msimu huu wa joto kabla ya mlinzi huyo mwenye miaka 36 kujiunga na Sao Paulo katika uhamisho wa bure. 



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?