Majaliwa amsimamisha mhandisi Morogoro, ampa maagizo RC:
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kasimu Majaliwa leo Jumatano anakamilisha ziara ya siku tano mkoani Morogoro. Tangu alipoanza hadi leo amekwisha kuwasimamisha watumishi 15 wa Halmashauri ya Kilombero, Mji Ifaraka na Ulanga pamoja na Mhandisi wa Ujenzi wa wilaya ya Morogoro.
Maoni
Chapisha Maoni