Tetesi za soka Barani Ulaya:
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Michezo
Ulikuwa ni uhusiano wenye mafanikio makubwa zaidi wa kocha na mchezaji wake katika nyakati za soka la sasa.
Tetesi za soka Ulaya Jumanne 28.09.2021: Phillips, Rice, Porro, Kessie, Isco, Jovic, Davies, De Ligt
Manchester United imeamua kuelekeza nguvu zake kwa kiungo wa Leeds United Kalvin Phillips, 25, baada ya kuachana na mipango yao ya kumsajili kiungo mwenzake wa England Declan Rice, 22, kutoka West Ham. (Star)
West Ham ina mpango wa kumuuza Rice kwa dau la £90m ikijiandaa na dau la kumpata mrithi wake. (Football Insider)
Real Madrid wanafikiria kupeleka ofa kwa ajili ya mlinzi wa pembeni wa Hispania Pedro Porro, 22, ambaye yuko kwa mkopo Sporting Lisbon akitokea klabu ya Manchester City. (O Jogo - in Portuguese)
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Maoni
Chapisha Maoni