Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 01.10.2019: Martinez, Coman, Smalling, Brewster, Darmian, Kral

Wachezaji wa Barcelona walikuwa tayari ku saini mkataba na mshambuliaji wa PSG Neiymar ,27, msimu huu hali ya kwamba walikuwa tayari kuona mishahara yao ikipunguzwa kuhakikisha uhamisho huo unafanikiwa , kulingana na beki Gerrard Pique. 

Manchester City ni miongoni mwa klabu zinazomnyatia mshambuliaji wa Steaua Bucharest raia wa Romania mwenye umri wa miaka 21 Florinel Coman. 

Manchester United ina hamu ya mshambuliaji wa Inter Milan mwenye umri wa miaka 21 raia wa Argentina Lautaro Martinez - Mshambuliaji huyo atagharimu Yuro milioni 111. 

Roma inataka kukamilisha uhamisho wa kudumu wa beki wa kati wa Uingereza Chris Smalling kwa dau la £18m. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Man United yuko katika mkopo wa muda mrefu katika klabu hiyo ya serie A. 

Liverpool inafikiria uwezekano wa kuchezesha timu mbili katika mashindano mawili tofauti yatakayofanyika siku moja , katika robo fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Aston Villa huku timu hiyo pia ikishiriki katika kombe la nusu fainali ya kombe la dunia miongoni mwa klabu. 

Crystal Palace ni miongoni mwa timu zilizo kumnunua mshambuliaji wa Liverpool na England mwenye umri wa chini ya miaka 21 Rhian Brewster, 19, kwa mkopo msimu huu. 

Palace wamefichua mpango wa £15-20m kuimarisha shule yao ya mafunzo ya kandanda kwa lengo la kuoredheshwa kuwa klabu ya kwanza kusini mwa London kufanya hivyo .

Inter Milan inamnyatia beki wa kulia wa Parma na Itali Matteo Darmian, 29. 

Norwich City huenda ikawa ndio klabu ambapo kiungo wa kati wa Spartak Moscow na Czech Alex Kral, 21 anaelekea. 

Mshambuliaji wa Newcastle Andy Carroll, 30, anatarajiwa kucheza dhidi ya timu yake ya zamani West Ham baada ya kurudi katika mazoezi kufuatia jeraha la nyonga. 
Edinson Cavani 'hajafurahia' kulingana na mkufunzi wa Paris St-Germain Thomas Tuchel, baada ya kumuweka benchi mchezaji huyo wa Uruguay mwenye umri wa miaka 32 tangu aliporudi baada ya

kuhudumia jeraha. 

Everton imeongeza kasimwenzakouendeleza kiungo wa kati wa Everton Tyler Onyango mwenye umri wa mia
ka 16. 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?