Waziri mkuu Giuseppe Conte: Italy Carantini Hadi May 3 (COVID19 virus)
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Waziri Mkuu wa Italia Giuseppe Conte ametangaza kuongeza muda wa nchi hiyo kuwa kwenye karantini kwa sababu ya coronavirus hadi May 3, "Matumaini yetu ni kwamba baada ya May 3 tunaweza kuanza upya. Lakini hii itategemea zaidi juhudi tuzifanyazo."
Maoni
Chapisha Maoni