Askofu Dkt. Getrude Rwakatare: Alazwe mahali pema peponi amina

TANZAN
IA  Askofu Dkt. Getrude Rwakatare (69) wa Kanisa la Mlima wa Moto amefariki dunia leo asubuhi Aprili 20, 2020. Rwakatare alikuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM).

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji