Kim Jong Un: naweka ulinzi mkali kwa wananchi wangu

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameendesha kikao cha kuweka mikakati zaidi ya kuwaweka Raia wake salama dhidi ya janga la corona huku akisisitiza kuwa bado Nchi yake haina hata kisa kimoja cha corona hadi sasa. “hatuna corona ila zaidi ya Watu 500 tumewaweka karantini”

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kwanini Somaliland ina matumaini na ujio wa Trump?

Tetesi za soka Barani Ulaya:

Rwanda bila misaada: Je, inaweza kujitegemea?