Mlinda mlango Hifadhi ya wa Bronx Zoo nchini Marekani amuambukiza Chui virusi ya COVID19.
Marekani: Chui wa kike huko Bronx Zoo ya New York ambaye amepimwa virusi vya COVID19, anesemekana kuambukizwa virusi kutoka kwa mlinda hifadhi iyo ya Bronx Zoo; pia chui watatu na simba watatu wa Kiafrika wanaonyesha dalili za maabukizi ya COVID19. Hong Kong imeripoti paka mmoja aliyeambukizwa virusi kutoka kwa mmiliki wake.
Maoni
Chapisha Maoni