Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) lakanusha KIFO Cha Gloria Michael.

Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
limekanusha habari zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwandishi wa Habari za biashara wa TBC, Gloria Michael amefariki dunia. TBC imesema habari hizo si za kweli, na kuwa umma uzipuuze.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji