CORONA VIRUS TURKEY: Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu,Rais amkatalia

Rais Erdogan amelikataa ombi la Waziri Suleyman Soylu, saa 11 baada ya kutangazwa zuio la watu kutoka ndani kwa saa 48 lililoibua vurugu na takriban watu 250,000 kuvamia migahawa na maduka ya vyakula

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji