COVID-19 UGANDA: Hakuna KIFO kilichotokana na virusi hivyo

Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine wawili wa corona wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufikia 22 nchini humo, Uganda ina visa 55 ambapo kwa sasa wagonjwa 33 wanaendelea na matibabu, 22 wamepona na hakuna kifo kilichotokana na corona.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji