UGANDA: Dereva mtanzania athibitika kuwa na COVID-19

> Wizara ya Afya ilipima sampuli 1,120 ambapo sampuli ya dereva wa gari la mizigo kutoka Dar ambaye hakuonesha dalili zozote, ilikutwa na COVID19

> Wizara inamfuatilia dereva huyo ambaye aliingia nchini humo kupitia mpaka wa Mutukula ili kumrudisha Tanzania

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji