Uingereza: Nesi mjamzito afariki kwa #covid19 mtoto aokolewa

Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la

Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa mtoto kwa kuwa hali ya Mary ilikuwa inazidi kuwa mbaya

Mary alikutwa na #Covid19 Aprili 5, na alianza kupata huduma hospitali Aprili 7, na amefariki Aprili 12. Wafanyakazi wenzake wamesema Mary ni nesi mzuri na ni kielelezo cha wanachosimamia

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?