Tetesi za soka jumatatu Barani Ulaya:

Paris St-Germain wamemtaka beki wa Real Madrid na Ufaransa Raphael Varane, 26, pamoja na mshambuliaji wa Brazil Vinicius Junior, 19, katika mpango wa kubadilishana wachezaji iwapo wanamuitaji mshambuliaji wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 Neymar. 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji