Je marufuku ya plastiki imefaulu Kenya?

Miaka miwili iliyopita, Kenya iliidhinisha marufuku dhidi ya matumizi ya mifuko ya plastiki nchini.

Je imefanikiwa?

Mamilioni ya ya plastiki ilitolewa katika maduka ya jumla kila mwaka nchini.

Ilichafua mazingira na kuziba mashimo ya maji taka na kusababisha mafuriko wakati wa msimu wa mvua.

Utafiti ulioungwa mkono na shirika la mazingira nchini (Nema) umebaini kuwa 50% ya ng'ombe walio karibu na maeneo ya mijini walipatikana na mifuko ya plastiki katika matumbo yao.

Hivyo basi baada ya ahadi za miaka mingi kwamba
 ingechukua hatua , serikai ilipiga marufuku utengenezaji, uuzaji na usambazaji wa mifuko ya plastiki nchini.

Tangu marufuku hiyo, serikali inasema 80% ya idadi ya watu nchini wameacha kutumia mifuko ya plastiki.

Licha ya kwamba hili linatia moyo, mifuko inayotumika mbadala imegunduliwa kuwa na madhara kwa mazingira.

Yeyote anayepatikana kutengeneza, kuingiza nchini au kuuza mifuko ya plastiki anaweza kutozwa faini ya hadi $40,000 (£32,000) au akabiliwe na kifungo gerezani cha hadi miaka minne.

Mtu anayepatikana kutumia mifuko hiyo anaweza kutozwa faini ya zaidi ya $500 au kifungo gerezani cha hadi mwaka mmoja.

Kufikia sasa, faini za kati ya $500 na $1,500 zimetozwa kwa takriban watu 300.

Wengine wamefungwa gerezani, anasema Keriako Tobiko, waziri wa mazingira Kenya.

Mwaka jana, watu 18 waliokiri makosa mahakamani katika mji wa Mombasa pwani ya Kenya walitozwa faini ya $300 au kuhukumiwa miezi minane gerezani kwa kutumia mifuko hiyo.

Katika kesi nyingine, watu waliofanya makosa kwa mara ya kwanza wameachiliwa huru pasi kuadhibiwa.

Ni maamuzi ya mahakama kubaini adhabu gani ya kutoa. jaji ana ruhusa ya kuamua kulingana na kesi," Mamo Mamo, kaimu mkurugenzi mkuu wa Nema, ameiambia BBC.

Adhabu kali zaidi kuwahi kutolewa kufikia sasa imekuwa dhidi ya mtengenezaji mifuko hiyo aliyehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani asi kutozwa faini kwa mujibu wa bwana Mamo.

Anasema marufuku hiyo imekuwa na athari kubwa - kiasi cha kwamba wachinjaji wanapata mifuko michache katika matumbo ya ng'ombe.

Mashirika ya mazingira pia yamesifia hatua hiyo nchini.

"Ni hatua nzuri iliyopigwa, iwapo tunayoyaona ni ya kuaminiwa. Awali unaposafiri kutoka nairobi kwenda sehemu kama Masai Mara ungeona mifuko ya plstiki ikining'inia kutoka kwenye miti kama maua baada ya kupeperushwa na upepo na kukwama. hatuyaoni tena," anasema Nancy Githaiga, mtafiti kutoka shirika la WWF.

Kwa kiasi kikubwa marufuku hiyo inaonekana kuwnaa ufanisi licha ya kwamba aina fulani ya mifuko ya plastiki bado inatumika kwa kiasi fulani.

Huku maduka makubwa na mengine ya reja reja yakiwa yameacha kutoa mifuko hiyo, wachuuzi wadogo wadogo wamekuwa wakitumia mifuko midogo iliyotengenezwa kwa plastiki ya wazi.

Na kuna ishara kwamba zinaingizwa kimagendo nchini kutoka mataifa jirani ya Uganda na Somalia.

"Kuna uwezekano mkubwa kwa bidhaa haramu kuingia katika soko la Kenya kutokana na mipaka yetu na mamauzi ya sera za nchi kuhusu matumizi ya mifuko ya plastiki ambayo marufuku haikuidhinishwa katika kiwango cha kieneo.

Biashara haramu ni changamoto kubwa nchini," inasema muungano wa watengenezaji bidhaa Kenya (Kam).

Watengezaji vikapu wafurahia marufuku ya mifuko ya plastiki Kenya

"Ni maamuzi ya mahakama kubaini adhabu gani ya kutoa. jaji ana ruhusa ya kuamua kulingana na kesi," Mamo Mamo, kaimu mkurugenzi mkuu wa Nema, ameiambia BBC.

"Ni hatua nzuri iliyopigwa, iwapo tunayoyaona ni ya kuaminiwa. Awali unaposafiri kutoka nairobi kwenda sehemu kama Masai Mara ungeona mifuko ya plstiki ikining'inia kutoka kwenye miti kama maua baada ya kupeperushwana upepo na 
Watengezaji vikapu wafurahia marufuku ya mifuko ya plastiki Kenya

"Ni maamuzi ya mahakama kubaini adhabu gani ya kutoa. jaji ana ruhusa ya kuamua kulingana na kesi," Mamo Mamo, kaimu mkurugenzi mkuu wa Nema, ameiambia BBC.

Adhabu kali zaidi kuwahi kutolewa kufikia sasa imekuwa dhidi ya mtengenezaji mifuko hiyo aliyehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani asi kutozwa faini kwa mujibu wa bwana Mamo.

Anasema marufuku hiyo imekuwa na athari kubwa - kiasi cha kwamba wachinjaji wanapata mifuko michache katika matumbo ya ng'ombe.

Mashirika ya mazingira pia yamesifia hatua hiyo nchini.

"Ni hatua nzuri iliyopigwa, iwapo tunayoyaona ni ya kuaminiwa. Awali unaposafiri kutoka nairobi kwenda sehemu kama Masai Mara ungeona mifuko ya plstiki ikining'inia kutoka kwenye miti kama maua baada ya kupeperushwa na upepo na kukwama. hatuyaoni tena," anasema Nancy Githaiga, mtafiti kutoka shirika la WWF.

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionSerikali inasema mifuko michache inapatikana katika matumbo ya ng'ombe

Kwa kiasi kikubwa marufuku hiyo inaonekana kuwnaa ufanisi licha ya kwamba aina fulani ya mifuko ya plastiki bado inatumika kwa kiasi fulani.

Huku maduka makubwa na mengine ya reja reja yakiwa yameacha kutoa mifuko hiyo, wachuuzi wadogo wadogo wamekuwa wakitumia mifuko midogo iliyotengenezwa kwa plastiki ya wazi.

Na kuna ishara kwamba zinaingizwa kimagendo nchini kutoka mataifa jirani ya Uganda na Somalia.

"Kuna uwezekano mkubwa kwa bidhaa haramu kuingia katika soko la Kenya kutokana na mipaka yetu na mamauzi ya sera za nchi kuhusu matumizi ya mifuko ya plastiki ambayo marufuku haikuidhinishwa katika kiwango cha kieneo.

Biashara haramu ni changamoto kubwa nchini," inasema muungano wa watengenezaji bidhaa Kenya (Kam).

Kwa nini Tanzania inawakataa wakimbizi wa Burundi?Aihama nchi yake 'kutoroka ubaguzi wa rangi'Man Utd yaridhia Sanchez aelekee InterBrazil kukataa msaada wa G7 kuzima moto Amazon

Ulanguzi mipakani ni tatizo linaloripotiwa nchini rwanda pia, taifa ambalo limepiga marufuku mifuko ya plastiki mnamo 2008 na Morocco ilioanza kuidhinisha marufuku hiyo mnamo 2017.

Tanzania, ambayo pia ni nchi iliyokuwa chanzo cha kuingizwa mifuko mpakanikiharamu imeidhinisha marufuku dhidi ya bidhaa hiyo mnamo Juni.

Serikali inakabiliwa na matatizo mapya.

Kufuatia marufuku hiyo, mifuko ya Polypropylene imetumika kwa umaarufu kama mifuko mbadala.

Polypropylene ni aina ya plastiki ambayo ni rahisi kuitumia tena kuliko ile ya polythene, plastiki inayotumiwa pakubwa katika utengenezaji mifuko.

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES

Hatahivyo shirika la mazingira Kenya Nema limegundua kuwa watengenezaji walianza kwa haraka kupunguza ubora wa viwango vya mifuko hii, na kuongeza polythene kiasi cha kwamba haiwezi kutumika tena.

"Matumizi ya mara mojaya mifuko hii ilichangia madhara kwa mazingira kutokana na mbinu mbaya za kuyaharibu inayoshuhudiwa hivi sasa nchini pamoja na ukosefu wa miundombinu sahihi kudhibiti mifuko hiyo," Nema inasema.

Serikali baada yahapo ikapiga marufuku mifuko ya polypropylene Machi mwaka huu 2019 mpaka pale patakapo idhinishwa mifuko ya kiwango cha ubora.

Lakini watengenezaji na wachuuzi wa mifuko hiyo walipinga agizo hilo na marufuku hiyo ikabatilishwa, na mifuko hiyo ya polypropylene ingali inatumika hivi sasa nchini.

Kam linasema marufuku ya mifuko ya plastiki ilichangia hasara ya kibiashara, uwekezaji na kupotea kwa masoko kutokana na kwamba baadhiya watengenezaji walifunga biashara zao na wengine kuhamia katika mataifa mengine.

Lakini pia imeleta nafasi za biashara.

"Makampuni ya kutenegeza mifuko kidogo iliosalia ya plastiki imepanua shughuli zao na kuanza kutenegenza mifuko ya vitambara, na mifuko ya karatasi miongoni mwa aina nyingine," Afisa wa mawasiliano wa Kam Grace Mbogo ameiambia BBC.

"Hatahivyo, kiwango cha uzalishaji kinasalia kuwa chini kutokana na uhaba kwa bidhaa ghafi ndani ya nchi."

. hatuyaoni tena," anasema

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?