Siri ya Wole Soyinka kupona saratani

Mwandishi maarufu duniani, ambaye ni mshindi wa tuzo za Nobel Profesa Wole Soyinka alikutwa na saratani mwaka 2014. Sasa hali ya afya yake ni nzuri yaani hana saratani tena.

Na kitu kikubwa ambacho profesa huyo alikuwa akikizingatia ni kujitunza vizuri na hakuwa anafanya mazoezi ya kukimbia.

Soma zaidi:'Niliugua saratani ya kongosho, nikabeba ujauzito'

'Wazo lililonijia akilini lilikuwa ni kifo'

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?