Ni kwanini jamii ya Waborana huchelewa kuwapatia watoto majina.

Jamii mbali mbali zina utamaduni wa kuwapatia majina watoto wa kabla ya kuzaliwa au mara tu baada ya kuzaliwa. Lakini hii ni kinyume kwa jamii ya Waborana wanaoishi kwenye maeneo ya mpaka baina ya Kenya na Ethiopia ambao huwapatia watoto wao majina baada ya miezi mitatu. Wanaeleza ni kwanini

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji