Aacha kazi ya benki kuwa mpishi

Pamela Oduor ni muanzilishi wa kundi la Lets Cook nchini Kenya ambalo linaangazia mapishi ya jamii tofauti.

Alianza kundi hilo miaka mitatu iliyopita baada ya kuamua kuacha kazi ya benki ili kuangazia kitu anachopenda, upishi.

Bi Pamela alikua miongoni mwa majina 100 ya watu walio na mashabiki wengi katika mtandao wa kijamii wa Facebook mwaka jana.



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kwanini Somaliland ina matumaini na ujio wa Trump?

Tetesi za soka Barani Ulaya:

Rwanda bila misaada: Je, inaweza kujitegemea?