Rais Magufuli ampongeza Ummy Mwalimu

Rais Magufuli: Kwa namna ya pekee nampongeza sana mwanamama jasiri, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwa uvumilivu wake

- Nataka kusema kwa dhati nilimtesa sana, nilikuwa nampigia simu mara nyingi muda mwingine saa 8 usiku

- Naomba aniombee msamaha sana kwa Mume wake

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji