Kifo cha Floyd: Wamarekani weusi wasema 'hawako salama'

Maelfu ya watu wameendelea na maandamano katika maeneo mbalimbali nchini Marekani baada ya kifo cha George Floyd.
Mwanaume huyo, 46, ambaye hakuwa amejihami, alifariki mjini Minneapolis baada ya polisi wenye asili ya weupe kutumia mguu wake kumkandamiza Floyd na kumuua.
Newsday Swahili imezungumza na Wamarekani weusi ambao wanasema wanahofu kuhusu usalama wao.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji