Ni kwa kiasi gani Marekani imegawanyika?

Migawantiko inashuhudiwa nc
hini Marekani kuhusiana na suala tete la ubaguzi wa rangi na ukatili unaofanya na polisi dhidi ya watu weusi karibu kila wakati. Tangu kifo Cha George Froyd Marekani imegawanyika Kati ya wanaopaza sauti kulaani ubaguzi na wale wanaojaribu kuwanyamazisha wakosoaji wa mfumo uliopo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Kwanini Somaliland ina matumaini na ujio wa Trump?

Rwanda bila misaada: Je, inaweza kujitegemea?

Ubalozi wa Marekani: Hatutasita kuwachukulia hatua watakaovuruga au kukwaza demokrasia Tanzania