Askari walevi waua watu 12 DRC

Askari waliokuwa wamelewa nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamemimina risasi na kuua watu 12 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Mmoja wa wahanga anaripotiwa kuwa mtoto wa miaka miwili.
Mauaji hayo yalitokea Alhamisi katika jimbo la Kivu kusini mashariki mwa nchi hiyo
Kumekuwa na waandamanaji wenye hasira dhidi jeshi la Kongo katika mji wa Sange, eneo ambalo barabara nyingi zilikuwa zimefugwa.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji