maambukizi ya corona, anaweza kunyonyesha kwa kuzingatia haya

Katibu Mkuu Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dk. John Jingu akizungumza na maafisa Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Jamii kutoka katika Kata za mkoa wa Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo kwa  wataalam hao juu ya mapambano dhidi ya Virusi vya Corona jijini Dar es Salaam jana.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji