Familia ya Marealle wapelekana kortini mazishi ya mama yao

Mfanyabiashara anayemiliki vitega uchumi mbalimbali ndani na nje ya mkoa Kilimanjaro, Frank Marealle amefungua shauri mahakamani akipinga bibi wa miaka 105 kuzikwa eneo analodai ni lake.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Maandamano Kenya: 'Msiwaue, wapigeni risasi mguuni' Ruto awaambia polisi

Kwanini Somaliland ina matumaini na ujio wa Trump?

Ubalozi wa Marekani: Hatutasita kuwachukulia hatua watakaovuruga au kukwaza demokrasia Tanzania