Mbwana Samatta: Kauli ya 'Haina Kufeli' imenifaa maishani na katika kandanda

Jina la Mtanzania Mbwana Ally Samatta linagonga tena vichwa vya habari katika ulimwengu wa soka.

Baada ya kufanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi ya Ubelgiji na kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya KRC Genk ya Ubelgiji, na hivi sasa ripoti zinaeleza kuwa anatarajiwa kusajiliwa na klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi ya EPL.

Alianzaje na nini kilimpa msukumo wa kuendelea kujiboresha?

Samatta alibainisha majibu ya maswali hayo alipofanya mahojiano na mwandishi wa Newsday Swahili mwaka 2018.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Watalii wa Ufaransa kukabiliana na hukumu ya wizi wa mchanga

Yanga wamlilia Manji