Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2023

​Matumaini ya usitishaji vita siku ya Eid nchini Sudan yanafifia huku milio ya risasi ikisikika

Picha
​ AFP Copyright: AFP Usitishaji vita wa siku moja uliotangazwa na pande zote mbili zinazopigana katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum, kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha, unaonekana kufifia Mfanyakazi wa kukabiliana na dharura, Duaa Tariq, aliiambia BBC kwamba milio mikubwa ya risasi imesikika katika wilaya za kaskazini mwa jiji tangu asubuhi na mapema. Siku ya Jumanne mkuu wa vikosi vya jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, alitoa wito kwa vijana kuungana na kupigana na Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF). Lakini Bi Tariq alisema RSF ndio nguvu kubwa katika jiji hilo, ikimiliki nyumba, masoko na mitaa. Makubaliano ya awali katika mzozo wa wiki 10 yameafikiwa vibaya vile vile. Article share tools

Vita vya Ukraine: Putin asema Urusi kupeleka vichwa vya nyuklia Belarus ni onyo kwa Magharibi

Picha
​ CHANZO CHA PICHA, REUTERS Rais Vladimir Putin amesema kwamba upelekaji wake wa silaha za kimkakati za nyuklia huko Belarus, jambo ambalo alithibitisha kwa mara ya kwanza tayari limetokea, ni ukumbusho kwa Magharibi kwamba haiwezi kuisababishia Urusi mkakati wa kushindwa. Akizungumza katika kongamano kuu la kiuchumi la Urusi huko St Petersburg, Putin alisema vichwa vya kimkakati vya nyuklia vya Urusi tayari vimewasilishwa kwa mshirika wa karibu Belarus, lakini alisisitiza kuwa haoni haja ya Urusi kutumia silaha za nyuklia kwa sasa. "Kama unavyojua tulikuwa tukijadiliana na mshirika wetu, (Rais wa Belarus (Alexander) Lukashenko, kwamba tungehamisha sehemu ya silaha hizi za nyuklia kwenye eneo la Belarus - hii imetokea," Putin alisema. "Vichwa vya kwanza vya nyuklia viliwasilishwa katika eneo la Belarus. Lakini zile za kwanza tu, sehemu ya kwanza. Ila tutafanya kazi hii kikamilifu mwishoni mwa msimu wa joto au mwishoni mwa mwaka." Hatua hiyo, ikiwa ni mara ya kwanza

Kampuni ya Johnson & Johnson yashtakiwa kwa kuwauzia Wakenya poda za watoto

Picha
​ Homepage Accessibility links Ruka hadi maelezo Accessibility Help Menyu BBC Swahili News Navigation Yaliyomo Moja kwa moja MOJA KWA MOJA Mwanamke 'aliyefariki' apatikana akipumua kwenye jeneza wakati wa mazishi yake Related Video and Audio VIDEO 3 MINUTES 23 SECONDS VIDEO 3 MINUTES 23 SECONDS 3:23 Play video Mpishi aliyejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na upish wake from BBC Mpishi aliyejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na upish wake BBC Play video Mpishi aliyejizolea umaarufu mitandaoni kutokana na upish wake from BBC VIDEO 1 MINUTE 57 SECONDS VIDEO 1 MINUTE 57 SECONDS 1:57 Play video Wanafunzi wa sekondari wabuni gari linalotumia nisharo ya jua Tanzania from BBC Wanafunzi wa sekondari wabuni gari linalotumia nisharo ya jua Tanzania BBC Play video Wanafunzi wa sekondari wabuni gari linalotumia nisharo ya jua Tanzania from BBC VIDEO 49 SECONDS VIDEO 49 SECONDS 0:49 Play video ‘Dawa za kulevya zilinisababishia shida kwenye ubongo’ from BBC ‘Dawa za kulevya zilinisababis