Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Marekani itaendelea kuiunga mkono au kuitelekeza Ukraine baada ya uchaguzi?
Maelezo kuhusu taarifa Author, Rais ajaye wa Marekani ataamua kuhusu matarajio ya Ukraine kuingia NATO, kuendelea na usambazaji wa silaha za Magharibi na masharti ya mazungumzo ya amani kati ya Kyiv na Moscow. Wafuatiliaji wa mambo wanakubali kwamba ushindi wa Kamala Harris utapokelewa vizuri zaidi huko Kyiv kuliko muhula wa pili wa Donald Trump. Diplomasia ilikuwa sehemu ya jukumu la Harris kama makamu wa rais katika utawala wa Biden, alipewa kazi ya kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali. Pia unaweza kusoma Kwanini Urusi inaivamia Ukraine na Putin anataka nini? 25 Februari 2022 Siri ya silaha ya siri ya urusi iliyoanguka Ukraine 12 Oktoba 2024 Uchaguzi wa Marekani 2024: Je, Trump na Harris wana sera gani? 24 Oktoba 2024 Mipango ya Harris CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Mwaka 2022, Congress ilimkaribisha Zelensky kwa shangwe Mwaka 2022, Urusi ilifanya uvamizi nchini Ukraine, na diplomasia ya Harris iliongeza msaada kwa Kyiv. Amekutana na Rais Volodymyr Zelensky mar