Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2023

MATUKIO YALIYOJIRI: Habarika na Newsday Swahili 🇹🇿

Picha
Hofu yatanda baada ya mtu mmoja kujichoma moto Mombasa Social embed from twitter Ripoti Report this social embed, make a complaint Mwanamume mmoja kwa sasa anaendelea kupata nafuu katika hospitali kuu ya Pwani mjini baada ya kujichoma moto eneo la Mwembe Tayari kaunti ya Mombasa. Katika video isiyo na tarehe iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii siku ya Alhamisi, mtu huyo ambaye hakutambulika alinaswa akijichoma moto akiwa amesimama juu ya jengo fulani huku watu wa karibu wakitazama. Hata hivyo polisi bado hawajazungumzia tukio hilo. Alionekana akijimiminia kitu kinachoshukiwa kuwa mafuta kabla ya kujiwasha moto.V ilio kutoka kwa watazamaji vilisikika huku wengine wakitazama tu kwa mshangao mtu huyo aliyekuwa akichomeka akianguka chini. Mtu mwingine alionekana akimkimbilia huku watu wakiwa wamekusanyika ili kuelewa kinachoendelea. Ripoti sasa zinaonyesha kuwa mwanamume huyo kwa sasa anapokea matibabu ya majeraha yake. Kufuatia kisa hicho, baadhi ya Wakenya mtandaoni wameibuka na nadha