Panya wa Tanzania wagundua kifua kikuu

Kifua Kikuu ni moja wapo ya magonjwa sugu duniani ya kuambukiza. Ugonjwa huu wa TB husababisha vifu vya zaidi ya watu milioni 1.5 kila mwaka huku wengine bilioni 1.7 wakiambukizwa. 

Shirika la Afya Duniani(WHO) linasema nchi masikini nyingi kutoka Afrika ndizo zilizoathirika na maambukizi ya TB.

Nchini Tanzania utafiti maalum umeanzishwa ambapo wanasayansi wanatumia Panya kuchunguza TB na kuanza mapema matibabu yake. 

Waandishi  Dayo Yusuf na Munira Hussein walitembelea kwenye maabara moja kunakofanyiwa utafiti huu mjini Dar es Salaam na kuandaa taarifa ifuatayo.

Follow us on Facebook

Follow us on Instagram

Follow us on Twitter

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Umoja wa Ulaya hatimaye wakubaliana kuufufua uchumi wao

Urusi kuisadia Uganda kujenga uwezo wake wa nyuklia, ni mataifa gani ya Afrika yanatumia nishati ya nyuklia na kwanini?