Hatua gani zichukulie dhidi ya wachezaji kushambiliana(kupigana) wakati wa mchezo?
Kipa wa klabu ya Glentoran Aaron McCarey aonekana akimkaribia na kumshambulia mchezaji wa timu yake kwa kushindwa kuzuia goli, Tunauliza je inapofikia hatua hiyo ni kipi kinachofanyika?
Maoni
Chapisha Maoni