Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2023

Je, Iran ina nguvu ya kuingia vitani moja kwa moja na Israel?

Picha
Je, Iran ina nguvu ya kuingia vitani moja kwa moja na Israel? CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Suali linaloulizwa na wengi, ni ikiwa Iran inao uwezo wa kuingia vitani na Israel 27 Oktoba 2023 Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya hadharani Israel - ni lazima isitishe mashambulizi yake huko Gaza la sivyo italazimika kuchukua hatua. Ndani ya masaa machache baadaye, Iran ilibadilisha msimamo katika Umoja wa Mataifa - ikasema haitaingilia mzozo kati ya Israel na Hamas ila ikiwa tu maslahi ya Iran na raia wake yataathirika. Hata hivyo, katika mzozo huu wa pande mbili, Iran tangu awali imeeleza wazi uungaji mkono kwa kundi la wapiganaji wa Hamas na Wapalestina. Pia inaionya Israel huenda ikakabiliwa na matokeo mabaya. Naibu kamanda wa jeshi la Iran, aliitishia Israel kwa shambulio la kombora katika mji wa Haifa nchini Israel. Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema iwapo mashambulio ya Israel dhidi ya Gaza yataendelea hakuna mtu atakayeweza kuwazuia Waislamu, k

Dini ya Kiislamu kuipiku ile ya Kikristo kwa ukubwa 2070

Picha
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Maelezo ya picha, Waislamu wakifanya ibada. Utafiti unasema kuwa dini ya Uislamu inatarajiwa kuipiku ile ya Wakristo ifikiapo 2070 Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo kwa sasa lakini inakua kwa haraka sana. Hata hivyo hilo huenda likabadilika iwapo mwenendo wa watu wanaojiunga na dini hiyo utaendelea, kulingana na utafiti uliochapishwa na kituo cha utafiti cha Marekani Pew Research Center. Kulingana na utafiti huo Uislamu unakuwa kwa haraka ikilinganishwa na dini nyengine yoyote ile duniani. Itaipiku dini ya Kikristo ifikiapo 2070 kulingana na makadirio yake na hivyobasi kuwa dini yenye ufuasi mkubwa duniani. MATANGAZO Umoja wa Wakristo na Waislamu Kibera Mkahawa wakataa kuwahudumia wanawake Waislamu Ufaransa Msikiti mkubwa Afrika wajengwa Algeria Mwaka 2010 taifa la Indonesia ndilo taifa lililokuwa na idadi kubwa ya Waislamu duniani lakini sasa India huenda ikawa na wafuasi wengi zaidi duniani ifikiapo 2050. Hatahivyo taifa hilo litakuwa