Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2021

Kutoka kuwa mfanyakazi wa hoteli, mpaka kumiliki hoteli ya thamani ya mabilioni

Picha
6 Julai 2021 CHANZO CHA PICHA,  SOUADOU NIANG Akiwa na miaka 18, Souadou Niang aliiacha familia yake na kwenda nchini Marekani. Ugunduzi huu wa Amerika ulimfungulia fursa za kitaalam ambazo zilimuwezesha kufanikiwa  \"\" Kama hujui wewe ni nani, simama mbele ya kioo kisha jiulize swali kwasababu wewe pekee unaweza kulijibu.\"\" Hii ni moja ya sentensi ambazo amezichukua kutoka kwa mama yake. Mama yake Souadou aliweka mtihani huu wa kioo kwa binti yake ili kumsaidia kujichunguza mara kwa mara. Mama kama mfano mzuri wa kuigwa CHANZO CHA PICHA,  SOUADOU HAS Akiwa bila baba akiwa na miaka 3, na mtoto wa kumi na mbili katika familia ya watu 13, Souadou ni pacha. Anasema alirithi kutoka kwa mama yake ladha yake ya "uzuri na uboreshaji. Na nguvu yake ya tabia:" alikuwa mkali sana lakini na upendo mwingi. "Mama yangu, aliolewa, alikuwa na miaka kumi na nne na baba yangu alikuwa na miaka ishirini. Walikuwa mmoja wa weusi wa kwanza kuishi katika bandari katika